Tanzania
HABARI MPYA LA JANA MATANGAZO BEI ZETU WASILIANA NASI TUMA HABARI
ijumaa, 3 septemba 2010
Yaliyopita
rss feeds
Pekua Tovuti
Slaa: Ole wenu CCM
Asisitiza ana uhuru kuoa, hagombei uaskofu bali urais
[Mwandishi wetu]
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa amesema hakuna kiongozi yeyote wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mwenye ubavu wa kumnyoshea yeye kidole katika masuala ya yanayohusu maisha yake binafsi...
 
Marando amgeukia Jaji Mkuu[Mwandishi wetu]
Amtaka aache kuikingia kifua CCM
SIKU chache baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere Marando, kuwahusisha vigogo wa CCM na ukwapuaji wa mabilioni ya fedha za Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), amemshukia Jaji Mkuu, Agustino Ramadhan, akimtaka aache kuikingia kifua CCM...
Habari za Kitaifa
Makala
 Mtazamo wangu Naliona anguko la TOT [Irene Mark]
 Busati la Wikiendi Kumbukumbu ya kazi ni jambo la msingi kisanii [Khadija Kalili]
Habari za Dar es Salaam
 Tigo Pesa yazinduliwa [Shehe Semtawa]
Habari za Mikoani
 CCM Uyui kwafukuta  Uyui [Mustapha Kapalata]
 Vincent Nyerere aivuruga CCM Musoma  Musoma  [Sitta Tumma]
 TLP yalia na maofisa TAKUKURU  Mbeya [Gordon Kalulunga]
 Nitaleta wawekezaji mkinichagua - Nassir  Korogwe [Neema Kishebuka]
 Salakana aahidi kufufua viwanda  Moshi [Grace Macha]
Burudani
Michezo
 Serikali 'yaichinja' Yanga [Mwandishi wetu]
 Ni kivumbi Stars, Algeria [Dina Ismail]
 Mhinzi achukua fomu TEFA [Makuburi Ally]

juu 
Habari Mpya  |  Matangazo  |  Bei zetu  |  Wasiliana nasi  |  Tuma habari  |  Barua pepe  |  Webmaster
Copyright 2010 © FreeMedia Ltd.
Wasomaji
 counters

hit counter

© free media limited 2010
mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Bilicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233  •  faksi +255-22-2126234  •  selula  0713 296570