Tanzania
HABARI MPYA LA JANA MATANGAZO BEI ZETU WASILIANA NASI TUMA HABARI
jumanne, 27 julai 2010
Yaliyopita
rss feeds
Pekua Tovuti
Dk. Slaa afanya kufuru Karatu
Atamba CCM haitaichukua Karatu
[Kulwa Karedia]
MBUNGE wa Karatu na mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, jana alitikisa mji wa Arusha na Karatu, baada ya kupata mapokezi makubwa ambayo yaliwafanya baadhi ya watu kusimamisha shughuli zao...
 
DC Kasulu mbaroni kwa rushwa[Charles Ndagulla]
Alikuwa akitoa fedha, vitenge, asali, vipeperushi
VITUKO vya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya udiwani na ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimezidi kushamiri hapa nchini, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Betty Machangu, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU)...
Habari za Kitaifa
 Ajali yaua 10 Tanga [Bertha Mwambela]
Makala
 Mtazamo wangu Wanasiasa acheni ubabaishaji [Thomas Lyimo]
Habari za Dar es Salaam
 LHRC walaani rushwa kwa wagombea [Hellen Ngoromera]
Habari za Mikoani
 Mahita awatahadharisha wananchi   Morogoro [Anitha Challi]
 Samaki tani moja wakutwa wamekufa   [Mauwa Mohammed]
 Watatu wafa ajalini Rukwa  Sumbawanga [Elizabeth Ntambala]
 Auawa akidaiwa kuiba mbuzi  Mtwara [Happy Mollel]
 Elimu ya uzazi wa mpango yawafikia wafugaji  Babati [Halfani Lihundi]
Burudani
 SBL yajivunia Fiesta [Khadija Kalili]
 Joanita aja na kundi lake [Abdallah Menssah]
Michezo
 Bundi aanza kulia Yanga  [Dina Ismail]
 Mgosi awafuata wenzake Zenji [Makuburi Ally]

juu 
Habari Mpya  |  Matangazo  |  Bei zetu  |  Wasiliana nasi  |  Tuma habari  |  Barua pepe  |  Webmaster
Copyright 2010 © FreeMedia Ltd.
Wasomaji
 counters

hit counter

© free media limited 2010
mtaa wa Mkwepu na Makunganya, jengo la Bilicanas, gorofa ya kwanza, SLP 15261, Dar es salaam, Tanzania
simu +255-22-2126233  •  faksi +255-22-2126234  •  selula  0713 296570